Kiswahili English
1 1
Ee Mungu nguvu yetu O God of all creation
Ilete baraka kwetu Bless this our land and nation
Haki iwe ngao na mlinzi Justice be our shield and defender
Natukae na undugu May we dwell in unity
Amani na uhuru Peace and liberty
Raha tupate na ustawi. Plenty be found within our
borders.
2 2
Amkeni ndugu zetu Let one and all arise
Tufanye sote bidii With hearts both strong and true
Nasi tujitoe kwa nguvu Service be our earnest endeavour
Nchi yetu ya Kenya And our homeland of Kenya
Tunayoipenda Heritage of splendour
Tuwe tayari kuilinda Firm may we stand to defend.
3 3
Natujenge taifa letu Let all with one accord
Ee, ndio wajibu wetu In common bond united
Kenya istahili heshima Build this our nation together
Tuungane mikono And the glory of Kenya
Pamoja kazini The fruit of our labour
Kila siku tuwe na shukrani Fill every heart with
thanksgiving.